Kitabu hiki kinatoa uchambuzi wa siasa-uchumi kuhusu MIUMBI na athari zake kwa nchi ya dunia ya tatu kama Tanzania. Waandishi wametumia lugha rahisi ambayo msomaji yeyote anaweza kuielewa hata kama ni mara ya kwanza kusikia kuhusu MIUMBI. Ni jambo la kutia faraja kuwa kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha yetu wenyewe. Msomaji atapata mifano dhahiri kuhusu mambo yaliyojiri kihistoria hadi kufikia nchi kuanza kuwekeana mi ...
