MIKATABA YA UWEKEZAJI KATI YA NCHI MBILI (MIUMBI) NA ATHARI ZAKE KWA TANZANIA

MIKATABA YA UWEKEZAJI KATI YA NCHI MBILI (MIUMBI) NA ATHARI ZAKE KWA TANZANIA

MIKATABA YA UWEKEZAJI KATI YA NCHI MBILI (MIUMBI) NA ATHARI ZAKE KWA TANZANIA

Kitabu hiki kinatoa uchambuzi wa siasa-uchumi kuhusu MIUMBI na athari zake kwa nchi ya dunia ya tatu kama Tanzania. Waandishi wametumia lugha rahisi ambayo msomaji yeyote anaweza kuielewa hata kama ni mara ya kwanza kusikia kuhusu MIUMBI. Ni jambo la kutia faraja kuwa kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha yetu wenyewe. Msomaji atapata mifano dhahiri kuhusu mambo yaliyojiri kihistoria hadi kufikia nchi kuanza kuwekeana mikataba ya uwekezaji. Msomaji pia atajifunza kuhusu athari za MIUMBI kwa nchi maskini, zikiwemo kesi mbalimbali zilizofunguliwa na kampuni za uwekezaji na mifumo ya uendeshaji wa kesi hizi. Kitabu kimetoa mifano hai ya kesi zilizofunguliwa dhidi ya nchi yetu Tanzania na namna zinavyoigharimu.

Soma zaidi hapa chini au pakua chapisho hilo kwa kubofya hapa.

https://www.rosalux.or.tz/wp-content/uploads/2022/07/miumbi_ebook.pdf

Close